Breakfast Meeting 10-Feb-2017

Breakfast Meeting 10-Feb-2017

Tanzania women Chamber of Commerce (TWCC) inakukaribisha mkutano wa mwezi/breakfast meeting utakaofanyika tar:  10/2/2017  kuanzia saa mbili kamili asubuhi hadi saa saba mchana. Ukumbi wa "Seashells hotel" iliopo jengo la Millennium tower eneo la Kijitonyama, barabara ya Mwenge. 


AGENDA:

1. Umuhimu wa kuweka Akiba (UTT)

2. Mitaji (AML)

3. SACCOS ya TWCC

4. Siku ya wanawake duniani tar. 8/3/2017

5. Taarifa mbalimbali. (Maandalizi ya Sabasaba 2017 na
 Maonesho mengine pamoja na Fursa ilizopo)

 

Kiingilio: Elfu tano (5000/=) kwa wasio wanachama.


*Wanachama ni bure.

 Pesa ya kiingilio  itapokelewa mlangoni hivyo njoo nayo siku ya mkutano.

Kwa wanaopenda kuwa wanachama siku hiyo fomu zitakuwepo na kiingilio kwa sasa ni;

A. Binafsi 50,000/= na ada ya mwaka 25,000/=

B. Association, kampuni au kikundi 100,000/= na ada ya mwaka 50,000/=
 
Tafadhali thibitisha kwa kutuma jina kamili kabla ya tarehe 8 jioni Kwa Namba hizi 0684112311/0712444041

Nyote Mnakaribishwa