MKUTANO MKUU WA MWAKA (ANNUAL GENERAL MEETING)

Mkutano Mkuu maalumu wa Mwaka (Annual general Meeting AGM) utafanyika tarehe 30/3/2017 kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni katika Ukumbi wa MSASANI HALL uliopo Masaki karibu na CCBRT. 

Hivyo basi, tunapenda kuwakaribisha wanachama wa TWCC katika mkutano huo. Kila mwanachama wa TWCC anatakiwa ahakikishe kuwa amelipa ada ya uanachama kabla ya siku ya Mkutano.

AGENDA ZA MKUTANO:
1. KUOMBA
2. UTAMBULISHO
3. KUTHIBITISHA AKIDI
4. KUFUNGUA MKUTANO
5. KUPITISHA AGENDA
6. KUSOMA NA KUHAKIKI MUHTASARI WA MKUTANO MKUU WA TAREHE 3 MACHI 2016
7. YATOKANAYO NA MKUTANO WA TAREHE 3 MACHI 2016
8. RIPOTI YA MWENYEKITI YA MWAKA 2016
9. TAARIFA YA UTENDAJI YA MWAKA 2016
10. RIPOTI YA FEDHA YA MWAKA 2016
11. MAKISIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA MWAKA 2017
12. MENGINEYO
13. KUFUNGA MKUTANO

Kufika kwako ndio mafanikio ya Mkutano huu. Tafadhali thibitisha ushiriki wako kwa namba
0684112311a au 0712444041
Email; This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.