MKUTANO MKUU WA MWAKA (AGM) 2016/2017

MKUTANO MKUU WA MWAKA 2016/2017 (ANNUAL GENERAL MEETING 2016/2017)

MKUTANO MKUU WA MWAKA (AGM) 2016/2017

Tunapenda kukutaarifu kuwa Mkutano Mkuu wa mwaka utafanyika tarehe  30/1/2018


Muda: saa 2 kamili asubuhi hadi saa  10 jioni
Ukumbi: Utafahamishwa
AGENDA:
1. Sala
2. Utambulisho
3. Kuthibitisha Akidi na kufungua mkutano
4. Kupitisha Agenda
5. Kusoma na kuhakiki muhtasari wa mkutano Mkuu wa tarehe 9 machi 2016
6. Taarifa ya utekelezaji ya mwaka 2016/2017
7. Ripoti ya fedha ya mwaka 2016/2017
8. Makisio ya mapato na matumizi ya mwaka 2018
9. Mengineyo
10. Kufunga mkutano.

Wanachama wote mnakaribishwa kushiriki mkutano huu muhimu na kila mwanachama anatakiwa  ahakikishe amelipa ada ya uwanachama ya mwaka 2017 kabla ya siku ya mkutano.

Kufika kwako ndio mafanikio ya mkutano huu muhimu.

Thibitisha kushiriki kupitia


Simu: 0684112311 au 0712444041
Au
Barua pepe: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.