DAR ES SALAAM INTERNATIONAL TRADE FAIR 2023

DAR ES SALAAM INTERNATIONAL TRADE FAIR 2023

TWCC MAONYESHO YA SABASABA 2023 🔥🔥🔥🔥🇹🇿👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼 Chama Cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC) kinapenda kuwatangazia wanachama na wanawake wote wajasiriamali kutoka Mikoa yote kujiandikisha kwa ajili ya kushiriki maonesho ya Sabasaba.