BREAKFAST MEETING MANYARA REGION

TWCC KONGAMANO LA WANAWAKE WAFANYABIASHARA MKOA WA MANYARA🔥🔥
TWCC inawakaribisha wanawake wafanyabiashara kushiriki Kongamano la mwezi lijulikanalo kama Manyara Women in Business Forum.
Tarehe: 30 May. 2023 (Jumanne).
Mahali: Ukumbi wa White Rose Babati – Manyara.
Muda: ⏰kuanzia saa 1:30 asubuhi-saa 6:00mchana
AGENDA
1.Networking/Kujenga Mtandao wa Kibiashara
2. Elimu ya Kodi & Ufafanuzi juu ya sheria ya Fedha ya mwaka 2022/2023
3.Elimu ya vipimo sahihi-WMA
4. Fursa za Mitaji ya Biashara, Taasisi za Fedha,CRDB, NMB,NSSF, SIDO
5. Fursa za mitaji ya biashara kupitia Ruzuku – TWCC
6. Elimu ya kurasimisha Biashara, Ufungashaji Masoko na Ubora wa bidhaa kutoka Taasisi husika – SIDO, GS1, TBS, , Afisa Biashara n.k
7. Fursa Mbalimbali za Masoko na Maonyesho kwa mwaka 2023-TWCC
8. Elimu ya usimamizi na uendeshaji wa Biashara-Afisa Biashara
9. Fursa ya mikopo na huduma kupitia Benki ya Crdb.
Mwisho wa kuthibitisha ushiriki ni tarehe 29.05.2023 saa 12 na nusu jioni. Thibitisha ushiriki wako kupitia namba;
📞0785928296 au
📞0673460072 au 0784900083
Kiingilio kwa wasio wanachama ni 10,000/=
Kwa waliowanachama ni sh. 7000/=
Malipo yafanyike kupitia lipa namba 1275716 (TWCC MANYARA)
Chai itakuwepo.
Wahusika: wanawake & vijana wa kike. Meza za maonesho zitatolewa bure.
Njoo na Sample za Bidhaa zako.
*Thibitisha ushiriki wako sasa.