TWCC MAONYESHO YA 7 YA BIDHAA ZA VIWANDA

Chama Cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC) inapenda kuwatangazia wanawake wote wajasiriamali kutoka Mikoa yote kujiandikisha kwa ajili ya kushiriki maonesho ya 7 ya Bidhaa za Viwanda
Mahali:Viwanja vya Maonesho ya Mwalimu Nyerere(Sabasaba)
Tarehe 03 hadi 09 Desemba, 2022
Gharama za ushiriki Kupitia TWCC
1. Kibanda Wanne – Bidhaa za Chakula, Vipodozi, Sabuni- 50,000 Kila mmoja
2. Kibanda Watatu – 70,000 Kila Mmoja
3. Bidhaa za Nguo Kibanda watatu – 70,000 kila mmoja
4. Nusu kibanda – 200,000
5. Kibanda kizima – 400,000
Gharama Zitahusisha;
1. Meza
2. Kiti🪑
3. Mapambo
4. Ulinzi
5. Umeme,
Lipia Kupitia : CRDB Bank
Akaunti: 01J1029021100
Jina: Tanzania Women Chamber of Commerce
Au MPESA- 0757823982
Jina: Tanzania Women Chamber of Commerce
Mwisho wa kulipia: 30 Novemba, 2022.
Bidhaa zinazoruhusiwa: Bidhaa kutoka sekta zote zinazozalishwa nchini, huduma, pamoja na teknolojia ndogo ndogo za uongezaji thamani.
Kwa Mawasiliano zaidi ; tupigie kupitia namba:0757823982 au 0677070408