WEBINAR ON SUSTAINABLE TEXTILE AND FASHION DESIGN

Start time August 09, 2023
Finished Time August 17, 2023
Address ONLINE
Speakers
Content

🔥Habari Njema Kutoka TWCC 🔥

Kupitia Mradi wa Fashion for Change awamu ya Pili unaofadhiliwa na GIZ-Business scouts for Development yenye lengo la kuimarisha uwezo wa wajasiriamali wanawake na vijana katika sekta ya Ubunifu wa Nguo, mavazi na Mitindo nchini Tanzania

TWCC inapenda kuwajulisha kuwa kutakuwa na Darasa la Mtandaoni litalofanyika na Mkufunzi wa Kimataifa Kutoka Ujerumani.

✅Mada husika. ✅
✨ Jinsi ya Kutengeneza michoro ya Kiufundi kwa kutumia Technolojia na Affinity Designer

✨Ubunifu wa Kampuni (Corporate Design), Kitambulisho Cha Kampuni (Corporate Identity), Thamani ya Chapa (Brand Value) and Upekee wa biashara yako ili uweze kuuza (Unique Selling Point)

✨ Vifaa, Uzalishaji na Usambazaji Endelevu. (sustainable Production workshop)

✨Hali ya Masoko endelevu kwa Afrika Mashariki. (Sustainability concept for the East Afican Market)

Mafunzo haya yatakuwa kwa Njia ya Mtandao wa Teams.

Ratiba ya Mafunzo ni kama ifatavyo:
✨Topic 1: Jumatano 9th Agosti sas 4:15 Asubuhi mpaka saa 6:30 mchana

✨Topic 2: Alhamisi 10th Agosti Saa 4:15 Asubuhi mpaka saa 6:30 mchana

✨Topic 3: Jumanne 15th Agosti Saa 4:15 Asubuhi mpaka saa 6:30 mchana

✨ Topic 4: Alhamisi 17th Agosti saa 4:15 Asubuhi mpaka saa 6:30 mchana

✨ Topic 5: Alhamisi 17th Agosti saa 8:00 Mchana mpaka saa 10:00 mchana

Link ya kuingia kwenye Darasa ni:
JIUNGE HAPA

✅✨Hakikisha unahudhuria maana kutakuwa na Mengi ya Kujifunza na Kujenga mtandao ikiwemo kutoka kwa watu Mbalimbali ikiwemo washiriki kutoko Uganda waliopo kwenye Program ya Fashion for Change. Wanawake Mbalimbali waliopo kwenye Tasnia ya Ubunifu wa Nguo na Mavazi.

Asanteni.