
WEBINAR ON SUSTAINABLE TEXTILE AND FASHION DESIGN
🔥Habari Njema Kutoka TWCC 🔥 Kupitia Mradi wa Fashion for Change awamu ya Pili unaofadhiliwa na GIZ-Business scouts for Development yenye lengo la kuimarisha uwezo wa wajasiriamali wanawake na vijana
BREAKFAST MEETING MANYARA REGION
TWCC KONGAMANO LA WANAWAKE WAFANYABIASHARA MKOA WA MANYARA🔥🔥 TWCC inawakaribisha wanawake wafanyabiashara kushiriki Kongamano la mwezi lijulikanalo kama Manyara Women in Business Forum. Tarehe: 30 May. 2023 (Jumanne). Mahali: Ukumbi