NATIONAL QUALITY AWARDS 2021 COMPETITION
TWCC inapenda kuwataarifu wanachama na Wadau wake kuwania na kushiriki katika Mashindano ya Tuzo za Ubora Kitaifa, Tuzo hizi zinatolewa na Wizara ya Viwanda na Biashara kwa kushirikiana na TBS na sekta binafsi. Washindi wa Tuzo za Ubora Kitaifa watapata nafasi ya Kuwania Tuzo za ubora za SADC kwa mwaka 2022.
Lengo la Tuzo (Quality Awards)
1. Kutambua Mashirika ambayo yanafanya vyema katika uboreshaji wa Ubora unaoendelea.
2.Kuhamasisha mashirika kuzingatia kanuni za ubora wa biashara.
3. Kuhimiza mashirika kuzingatia viwango vya Ubora vya ndani,kikanda na Kimataifa.
4.Kuhimiza matumizi ya mashirika ya zana za kupima, kudhibiti na usimamizi wa Ubora.
Makampuni na wajasiriamali kutoka sekta zote mnakaribishwa kuwania Tuzo hizi za Ubora.
[blink]NATIONAL QUALITY AWARD CATEGORIES>>[/blink]