
Tony Elumelu Foundation Entrepreneurship Programme (TEEP) 2023
TWCC inapenda kuwajulisha Wanachama wake kuwa Tony Elumelu Foundation Entrepreneurship Programme (TEEP) 2023 imeanza usahili wa Vijana wenye mawazo ya biashara. Mafunzo yatatolewa bure kwa vijana wajasiriamali kutoka Afrika na
TANZANIA WOMEN INDUSTRIAL AWARDS
Chama cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC) kwa mara nyingine inaandaa Tuzo za Viwanda kwa wanawake wajasiriamali Tanzania.( Tanzania Women Industrial Awards 2023) Walengwa 1. Wanawake wajasiriamali na wafanyabiashara 2. Wamiliki
FASHION FOR CHANGE PHASE II – 2023
Fursa kwa washonaji wa nguo na wabunifu wa mavazi Chama cha wanawake wafanyabiashara Tanzania (TWCC) kwa kushirikiana GIZ Business Scouts for Development Program (BSfD) wameanza utekelezaji wa Mradi mradi wa