TANZANIA WOMEN INDUSTRIAL AWARDS
Chama cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC) kwa mara nyingine inaandaa Tuzo za Viwanda kwa wanawake wajasiriamali Tanzania.( Tanzania Women Industrial Awards 2023)
Walengwa
1. Wanawake wajasiriamali na wafanyabiashara
2. Wamiliki wa Biashara iliyorasimishwa
Sifa za Ushiriki
1. Mmiliki mwanamke kwenye biashara angalau kwa 50%
2. Awe na wafanyakazi wa kudumu kuanzia 1-10 na kuendelea
3. Mtaji kunzia Tshs. 5,000,000 hadi 200,000,000 na kuendelea.
4. Mwenye kutunza Kumbukumbu za mahesabu ya fedha
5. Biashara lazima iwe na miaka 3 na zaidi
6. Biashara iliyosajiliwa na yenye kutambuliwa na mamlaka mbalimbali za serikali (TRA/ZRA, BRELA/BPRA, LGA’s n.k)
7. Kwa wazalishaji lazima bidhaa ziwe zimethibitishwa na TBS/ZBS
Namna ya Kujisajili
Fomu zinapatikana katika Ofisi za TWCC Mikoani
Tembelea Tovuti yetu kupakua fomu:www.twcc-tz.org
Bonyeza linki hapo chini kujisajili👇🏻
https://forms.gle/74EHC8fQ6dAgtxCe9