YOUTH SOLIDARITY FUND (YSF)

TWCC inapenda kuwataarifu wanachama wake kuwa The United Nations Alliance of Civilizations (UNAOC) wamefungua dirisha la maombi kwa taasisi za Vijana kuomba ufadhili kupitia mfuko wa YOUTH SOLIDARITY FUND (YSF).

YSF ni mfuko maalumu kusaidia taasisi za Vijana kuimarisha amani na kuleta Ujumuishi wa Kijamii (Social Inclusion) kupitia shughuli zao.

Watakaofanikiwa kuchaguliwa watapata Dola za Kimarekani (USD) 25,000 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi yao.

Kutuma maombi bonyeza👇🏿

Youth Solidarity Fund 2023

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 14 Mei, 2023.

Kwa maelezo zaidi tembelea https://www.unaoc.org/

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *