ZIARA YA WANAWAKE NCHINI CHINA KUANZIA TAREHE 15 OKTOBA HADI 24 OKTOBA, 2023 🔥✈️ 🇹🇿

ZIARA YA WANAWAKE NCHINI CHINA KUANZIA TAREHE 15 OKTOBA HADI 24 OKTOBA, 2023 🔥✈️ 🇹🇿
Kwa mara nyingine tena Chama cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC) kimeandaa ziara ya wanawake nchini, China 🇨🇳 katika mji ya Guangzhou
Tarehe: 15 Oktoba hadi 24 Oktoba 2023
Ziara hii itahusisha;
1. Kutembelea viwanda kulingana na Mahitaji ya washiriki
2. Kutembelea Maonesho ya Canton Fair
3. Kutembelea Masoko ya vifaa mbalimbali
4. Business Dinners 🍽 na wafanyabiashara wa China 🇨🇳
5. Kushiriki mikutano na wanunuzi mbalimbali (B2B) ili kuongeza masoko
Gharama:
Dola – 2500$
Inahusisha;
1) Malazi – 🏨
2) Usafiri wa ndege (Return ticket ) ✈️
3) Visa – 💳
4) Bima – 🌍
5) Usafiri wa ndani ya China-🚤🚉🚌
6) Kiingilio kwenye Maonesho
Mwisho wa kuthibitisha kushiriki ni tarehe 20 Septemba, 2023
Thibitisha kwa kulipia safari kupitia:
Account ya dola
CRDB BANK: 0250029021100.
Jina: Tanzania women Chamber of Commerce
Jina: TWCC
Simu: 0757823982
Barua pepe: info@twcc-tz.org
“Wote mnakaribishwa”.