TANZANIA WOMEN IN BUSINESS ANNUAL NETWORKING FORUM

Start time November 10, 2022 08:30
Finished Time November 10, 2022 16:30
Address Kisenga, LAPF, Kijitonyama - Dar es Salaam
Content

WCC WOMEN IN BUSINESS ANNUAL NETWORKING FORUM⬇️
🔥🔥🔥👇👇👇
Tarehe: 10 Novemba 2022

Mahali : Ukumbi wa Kisenga, LAPF, Kijitonyama – Dar es Salaam

MUDA: kuanzia saa 2:30 Asubuhi hadi saa 10:30 Alasiri/Jioni

AGENDA
1. Netwoking/Kujenga Mtandao wa Kibiashara
2. Namna ya kuanzisha na kuendesha biashara iliyofanikiwa
3. Fursa za masoko ya nje na namna ya kuyafikia
4. Elimu na Huduma kutoka Mashirika na Taasisi za Serikali kama vile BRELA, SIDO, TBS, WMA, GCLA, NSSF, GS1, TRA
5. Fursa na huduma za kifedha na Uwekezaji kutoka UTT AMIS, NMB na NBC
6. Fursa na Taratibu za Uwekezaji kwenye Miradi Mikubwa – TIC na TPDC
7. Namna ya kusafirisha mizigo ya bidhaa ndani na nje ya nchi -Shirika la Posta, TAFFA
8. Fursa za biashara kutoka Vodacom Tanzania
9. Uzoefu wa Biashara kutoka kwa wanawake waliofanikiwa
10. Maonesho ya saba (7) ya bidhaa za Viwanda vya Tanzania – kuanzia Tarehe 03 hadi 09 Desemba 2022

Thibitisha ushiriki wako kabla ya tarehe 8 Novemba 2022 kwa kutuma jina kamili baada ya kulipa kiingilio kupitia namba zifuatazo;
➡️0757 823982 M-pesa (TWCC)
➡️0677 070408 T-pesa (TWCC)
➡️0684 112311-A- Money(TWCC)

Kiingilio kwa ajili ya kushiriki mkutano huu:

Wanachama – Bure ❗️
Wasio Wanachama – 10,000/=

Chai, Chakula cha Mchana na Kabrasha za Kikao vitatolewa.

Wahusika: Wanawake na Vijana wa kike. Wahi❗️nafasi ni chache

⚠️Meza kwa ajili ya maonesho/mauzo zitatolewa bure.